Mkuu wa Idara ya Kilimo,Ushirika na Mifugo, Ndugu, Martina Pangani, awakaribisha wananchi wote wa Halmashauri ya Mji Nanyamba na nje Ya Halmashauri kuja katika maonesho ya kilimo ya sikukuu ya Nanenane Ngongo Mkoani Lindi,. maonesho hayo yanatarajiwa kuanza tarehe 1/8/2017 na kufikia kilele tqrehe 8/8/2017.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.