Friday 19th, April 2024
@Kiromba
Wananchi wajitokeza kushiriki katika ujenzi wa kItuo cha Afya Kiromba.
Machi 28, 2018 wananchi wa Kiromba wakishirikiana na wananchi wa Kijiji cha Majengo wamedhiriki katika hatua za awali za ujenzi wa Kituo cha Afya cha KIROMBA huku wakijitolea kuchimba misingi na kumwaga kifusi.
Pichani: Wananchi wakiwa wanachimba msingi wa jengo la kuhifadhia maiti.
Pichani: Mkurugenzi wa Mji pamoja na wananchi wakishiriki katika utiaji wa mchanga (kifusi) katika jengo tayari kwa ajili kumwaga zege jamvi.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.