• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

Zoezi la umezeshaji dawa kwa magonjwa yasiyopewa kipaumbele katika Halmashauri ya Mji Nanyamba

Saturday 5th, July 2025
@Nanyamba

Zoezi la kumezesha dawa za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kwa shule za msingi, Halmashauri ya Mji Nanyamba yameanza leo Mei 8, 2018. Uzinduzi wa zoezi hilo umefanyika katika shule ya Msingi Dinyecha ambapo Afisa Muuguzi Mkuu wa Halmashauri Bi. Juliana Chikumba alimwakilisha Mkurugenzi wa Mji.

Afisa Muuguzi Mkuu wa Mji, Bi. Juliana Chikumba (Pichani) akizindua zoezi kwa kummezesha dawa mwanafunzi wa shule ya msingi Dinyecha mapema leo hii.


Aidha, Mratibu wa Magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele wa Halmashauri Ndg. Mohamedi Tilika amezungumza na mwandishi wa habari wa Halmashauri ya Mji ambapo amesema, "Tunatarajia kulifanya zoezi hili kwa siku 3 kwa shule 65 za Msingi katika Halmashauri yetu, kuanzia leo Mei 8, huku tukitarajia kumezesha watoto 26,000 wa Shule za Msingi". 

Walimu waliopata mafunzo ya utohaji huduma wakiwa wanamezesha wanafunzi dawa za magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele mapema hivi leo.

Alpipoulizwa kama kuna madhara yoyote ambayo yamejitokeza kwa watoto, Mratibu huyo ambaye kitaaluma ni Afisa Muuguzi Msaidizi alisema, "Hadi sasa hayajaripotiwa madhara yoyote ya dawa kwa watoto na bado tunaendelea kufanya kazi kwa karibu zaidi ili kuweza kujua kama kuna mtoto amedhurika".


Zoezi hili linakuja siku chache baada ya uendeshaji wa mafunzo ya utohaji huduma ya magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele kufanyika kwa watoa huduma wa vituo vya afya pamoja na walimu wa shule za msingi Nanyamba.

Matangazo

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA WANANANYAMBA

    June 02, 2025
  • TAFITI YA LISHE YAENDELA KWA KASI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

    June 13, 2025
  • RC SAWALA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    June 10, 2025
  • TAFITI YA LISHE KWA WATOTO KUANZIA MIEZI 0 HADI MIEZI 59

    June 09, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.