Naibu katibu ofisi ya rais (TAMISEMI) anayeshulikia elimu Bw. Gerald Mweli ametoa maagizo kwa walimu wakuu na wakuu wa shule kuhusiana na matumizi ya mifumo ya PREM/PREMS na kuwaonya watakaoshindwa kuitumia kwa kuingiza taarifa za shule na wanafunzi watakosa pesa za elimu bure, kupata habari bofya linki hii
hapa https://www.tamisemi.go.tz/new/mweli-awatega-wakuu-wa-shule-walimu-wakuu-kwenye-mfumo-wa-premprems
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.