Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh Dastan Kyobya tarehe 09/02/2021 katika ukumbi wa
wa mikutano wa Chuo cha Ualimu Mtwara alifanya kikao kazi na Halmahauri zake anazoziongoza
ambazo ni Mtwar DC,Mtwara Munispaa na Halmashauri ya Mji Nanyamba
Kikao kazi hicho kilikuwa na Agenga kuu Tano Kufungua kikao,Magizo ya Serkali,Elimu
Ondoa poli Ongeza Uzalishaji,Mengineyo na kufunga kikao.Mkuu wa Wilaya aliwaalika Meya
wa Manisipaa,Wenyeviti wa Halmashauri,kamati ya Ulinzi na Usalama,Wakurugenzi,Makatibu
Tarafa,Wakuu wa Idara na Vitengo na Watendaji wa kata.
Maagizo ya Serikali:-
kujua idadi ya nyumba na madaraja yake
Nyumba ngapi zimelipiwa kodi na ngapi hazijalipiwa
Ukusanyaji wa Kodi ya Mabango ya Biashara na Kodi ya Ardhi
Elimu:-
Baadhi ya kata zinachangamoto za madawati katika shule zao na Mkuu wa Wilaya
ametoa maelekezo kwa Wakurugenzi wa halmashauri zote changamoto hizo zipatiwe ufunguzi katika
ka.
Maelekezo mengine yametolewa kwa wakuu wa Elimu Msingi na Sekondari kuhakikisha
kila shule yenye eneo inalima mazao ya chakula na Biasshara.
Taarifa ya watoto ambao hawajalipoti shuleni na Taarifa za watoto watoro.
Ondoa poli ongeza Uzalishaji:-
Kila Hamashauri iandae Mashamba ya mfano kwenye kila kata.s
Yatengwe maeneo ya uwekezaji
Kila Halmashuari iwe na samba lake la mfano na litakalo ongeza Mapato
Halmasahuri kuanzisha karakana kwaajili ya kutengeneza na kukarabati madawati.
vitambulisho vya Ujasiliamali:-
Vitatolewa vikiwa na uhainisho wa jina,picha na Mwaka
Wafanya biashara lengwa na siyo kila Mfanyabiashara.
Bajeti za 2021/2022:-
Halmasahuri yenye chini ya 1,500,000,000/= ijenge zahanati 2 namadarasa vyumba 5,uandaaji wa bajeti
uzingatie maelekezo hayo.
Uendeshaji wa Vikao vya Kisheria:-
Vikao vya kisheria vya ngazi zote toka vitongoji,Vijiji/Mitaa na WDC vifanyike
na changamoto zinazojadiliwa zitatuliwe.
kuwe na utaratibu wa kusikiliza kero za wananchi.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.