Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya mji Nanyamba Ndugu Edwin Thomas Mwailafu anasikitika kutangaza kifo cha Mtumishi wake
HASSANI DADI MNALYAMBA VEO mkumbwanana kilichotokea jana jumamosi Oktoba 9 mwaka 2021 katika Hospitali ya rufaa ya Ligula.
Taratibu za mazishi zinaendelea kufanyika.
INNALILAH WAINNA ILAYHI RAJIUUN
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.