Mh. Suleiman Jafo Waziri wa Nchi ofisi ya Raisi tawala za Mikoa na Serikali za mitaa (TAMISEMI) alifanya ziara ya kawaida halmashauri ya Mji wa Nanyamba, alipata fursa ya
kutembelea na kukagua miradi ya maendeleo, ikiwemo mradi wa hospitali ya Wilaya pamoja na mradi wa jengo la utawala. MH. waziri ameridhishwa na utekelezaji wa miradi hiyo na kupongeza usimamizi mzuri wa matumizi ya fedha za miradi hiyo.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.