Wananchi waliojumuika kuja kumsikiliza Waziri Mkuu
Wananchi wa Mji wa Nanyamba wakiwa wanamsikiliza Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Majaliwa Kassim Majaliwa alipokuwa anahutubia.
Waziri Mkuu akisisitiza jambo kwa wananchi alipokuwa anahutubia hadhara