Halmashauri ya Mji Nanyamba inaendelea na zoezi la Postikodi na Anwani za Makazi baada ya kumaliza zoezi la usajili wa Nyumba,Viwanja na uibuaji wa barabara za mitaa na vitongoji zoezi linaloendelea ni uwekaji wa vibao kwenye barabara za mitaa na vitongoji.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.