Watendaji wa kata 17 za Halmashauri ya Mji Nanyamba leo tarehe 08/02/2024 wamewasilisha taarifa za utendaji kwa robo ya pili ya mwaka 2023/2024 (Mwezi Oktoba hadi Disemba 2023) kwa niaba ya madiwani wa kata husika.Akizungumza kwa niaba ya Mkuu wa wilaya ya Mtwara, Mhe. Mwanahamisi Munkunda katibu tawala wilaya ya Mtwara Ndg. Mwinyi A. Mwinyi amewataka watendaji kata ambao wamekusanya mapato machache wahamasike kutoka kwenye kata zilizovuka lengo za makusanyo.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.