Hospitali ya Halmashauri ya Mji Nanyamba imeanza kazi rasmi tarehe 16/07/2020 kama ilivyo kuwa imeelekezwa na mkuu wa wilaya ya Mtwara Mh Dunstan Kyobya wananchi wa kijiji cha Pachani Kata ya Mtimbwilimbi ilipo hospitali walijitokeza kwa wingi kupata huduma mbalimbali,Hospitali imeanza kwa kuwahudumia wagonjwa wa nje wakati serikali inaendelea kukamilisha sehemu ndogo zilizobakia kuifanya Hospitali kuhudumia kwa asilimia mia moja,Halmashauri ya Mji Nanyamba imepokea shilingi millioni mia tatu za kukamilisha ujenzi wa hospital yote.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.