Kamati ya Fedha, Utawala na Uchumi imetembelea na kukagua shule ya Sekondari Kidato cha Tano na Sita ya Dinyecha leo tarehe 27/10/2023 ili kujionea mradi huo ulivyotekelezwa.
Kamati hiyo imeuoongeza Uongozi na Kamati iliyosimamia mradi huo wa mabweni Saba, Vyumba vya Madarasa 15 na Matundu ya Vyoo 33 mradi wenye thamani ya Bilioni 1.3 kutoka Serikali Kuu, Mgodi wa Barrick na fedha za Ufadhili wa Ep4r.
Shule hiyo ya wasichana kwa kidato cha tano na cha sita ina jumla ya wanafunzi 448 na ujenzi upo hatua ya umaliziaji.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.