Maadhimisho siku ya afya na lishe ya Mtaa (SALIM) wa Dinyecha kata ya Dinyecha leo tarehe 6/12/2024 yamefanyika kwa shughuli za huduma jumuishi za Afua za Lishe na Chanjo zilitolewa ikiwa.
- Utoaji wa matone ya nyongeza ya Vitamin A
- Utoaji wa Dawa za Minyoo
- Upimaji hali ya lishe (uzito pungufu,ukondefu na udumavu)
- Mapishi darasa
Huduma ya chanjo
Elimu ya umuhimu wa Vitamin A na Chanjo.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.