• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

UZALISHAJI NA USAMBAZAJI KASI IONGEZEKE ILI MIRADI IWEZE KUKAMILIKA

Posted on: November 17th, 2024


Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Mhandisi Mshamu Munde leo tarehe 16/11/2024 ametembelea eneo la kiwanda kinachomilikiwa na Halmashauri cha ufyatuaji wa tofali kwa lengo la kuona hali inavyoendelea kiwandani hapo.Mhandisi Munde akiongea na Timu ya usimamizi wa kiwanda hicho amewaelekeza kuongeza kasi ya uzalishaji na usambazaji ili miradi inayoendelea kujengwa isisue isue na  ametoa rai kama kama kuna changamoto zinawakabili wasisite kuzisema ili ziweze kufanyiwa kazi.Mhandisi Munde aliendelea kusema kuwa fedha nyingi zinaletwa kupitia Serikali ya awamu ya sita kiwanda hicho kiitendee haki fedha zinazoletwa kwa kusambaza bidhaa hizo kwa wakati na miradi iweze kukamilika mapema.Kiwanda cha tofali cha Halmashauri kilianzishwa kwa lengo la kuongeza mapato ya ndani hadi sasa toka kianzishwe kiwanda hicho kina malori mawili yaliyonunuliwa kutokana na mapato yake ya ndani, Mhandisi Munde ameanza leo ziara ya kutembelea miradi yote inayoendelea kutekelezwa Mji Nanyamba.


Matangazo

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • TAFITI YA LISHE YAENDELA KWA KASI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

    June 13, 2025
  • RC SAWALA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    June 10, 2025
  • TAFITI YA LISHE KWA WATOTO KUANZIA MIEZI 0 HADI MIEZI 59

    June 09, 2025
  • MAFUNZO KWA WATENDAJI WA KATA NA VIJIJI

    June 05, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.