Habari katika Picha:Wananchi wa vijiji vya Kiwengulo, Kilimahewa na Mnongodi kata ya Mnongodi wakifuatilia elimu ya msaada wa kisheria ijulikanayo @mslegalaidcampaign inayoratibwa na wizara ya @katibanasheria_, kampeni hiyo ya msaada wa kisheria imetamatika katika kata ya hiyo ya Mnongodi chini ya mratibu ndg @kabado_christopher kutoka wizara ya katiba na Sheria
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.