• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

KUSIKILIZA KERO

Posted on: September 9th, 2020

 Ndugu masumbuko mtesigwa afisa mazingira wa halmashauri ya mji nanyamba

Alivyotembelea wavuvi na wafugaji kata ya mnongodi kijiji cha kilimahewa bwawa la tandandia kusikiliza kero za wavuvi na kutolea majibu.

Wavuvi na wafugaji walitoa kero zao kama wakilipa kodi hawapewi risiti, ukosefu wa makazi ya kupumzika pindi wanapotoka kuvua.

Kwa upande wa wafugaji na wakulima kuna mgogoro, kwa wakulima kulalamika kuwa  wafugaji wanalisha mazao yao,wakati wafugaji wakitafuta eneo la malisho na maji.

Maelekezo kutoka kwa kaimu mkurugenzi kwa wavuvi ,wafugaji na wakulima.kuhusu wavuvi eneo la kupumzika amewaomba waimarishe ukusanyaji wa mapato na wahakikishe wanapotoa ushuru wapewe risiti na kuanzia tarehe 08/09/2020 zoezi zima la ukusanyaji wa mapato  na usimamizi wa bwawa la ulongwe utafanywa na halmashauri.

Kaimu mkurugenzi alisisitiza  utunzaji wa mazingira kama vile uchimbaji wa vyoo, utunzaji wa vyanzo vya maji na ukataji ovyo wa miti, pia alisisitiza kuimarisha ulinzi na usalama katika eneo husika, pia alipinga vikali matumizi ya madawa ya kulevya, matumizi ya pombe kali {gongo}na bangi ili nguvu kazi ya taifa isipotee.

Kaimu mkurugenzi alisisitiza ulinzi na usalama kwa wakazi wote wa eneo ambao wapo karibu na mpaka wa tanzania na msumbiji,kila mwananchi awe mlinzi wa mwenzake na kutoa taarifa kwa viongozi pindi  watakapoona mtu yoyote wasio mfahamu na kumtilia mashaka.

Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI October 12, 2020
  • Kikao kazi masuala ya fedha kwa vituo vya kutolea hudama, Shule,Zahanati na Vituo vya Afya. February 22, 2019
  • Mkurugenzi apiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki Nanyamba May 31, 2019
  • Anwani za mawasiliano kwa njia ya barua pepe February 04, 2019
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • MAELEKEZO YA NAIBU KATIBU OFISI YA RAIS (TAMISEMI) ANAYESHUGHULIKIA ELIMU KWA WALIMU WAKUU NA WAKUU WA SHULE KUHUSU MIFUMO YA PREM/PREMS

    January 11, 2021
  • VIJIJI VYA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA VYANUFAIKA NA MRADI WA KUKU

    January 07, 2021
  • UZINDUZI WA BARAZA LA WAZEE WA HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

    December 24, 2020
  • ORODHA YA WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWA KWANZA YATANGAZWA NA WAZIRI WA TAMISEMI MH. SULEIMAN JAFO

    December 21, 2020
  • Fungua zote

Video

Mwenyekiti wa wauuguzi wa Mkoa wa Mtwara ndg Abobakar Mwalimu
Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.