NA
|
JINA |
UTAMBULISHO
|
KAZI ANAZOFANYA |
1.
|
CYRUS KAPINGA
|
AFISA MIPANGO
|
1.Mkuu wa Idara ya Mipango
2. Mratibu wa Miradi ya Maendeleo ya: Wananchi Halmashauri Wahisani NGOs Kusimamia maandalizi ya taarifa za utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa kipindi cha robo, nusu mwaka na mwaka mzima. Kusimamia na kuhakikisha taarifa mbalimbali za Wilalya zinaandaliwa na zinatolewa kwa wakati. Kusimamia maandalizi ya Hali halisi ya Mji (District Profile),na kuihuisha mara kwa mara. Kusimamia maandalizi ya bajeti na mipango Kusimamia utekelezaji na ufuatiliaji wa bajeti na mipango kwa kufuata sheria za fedha Kusimamia maandalizi ya mpango na taarifa za utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM. Kusimamia utekelezaji wa miradi ya jamii (O & OD) Kusimamia maandalizi ya Mpango kazi (Action Plan) na kusimamia utekelezaji wake Kusimamia ukusanyaji wa takwimu mbalimbali za Mji. Mratibu wa shughuli programu za UNICEF Kuratibu utekelezaji wa sera na miongozo mbalimbali Kutoa ushauri katika utekelezaji wa programu mbalimbali za maendeleo Kuratibu maandalizi ya maandiko ya miradi Kufanya kazi nyingine atakazokuwa amepangiwa na Mkurugenzi Mtendaji |
2.
|
Sylivester N. Ngonyani
|
MCHUMI DARAJA I
|
Kuratibu maandalizi ya mipango na Bajeti ya Idara ya Elimu,kilimo na shughuli za UNICEF
Kuandaa Ratiba ya kazi (Action Plan) kwa miradi ya maendeleo kwa Idara za Elimu, Maji, na shughuli za UNICEF na kusimamia utekelezaji wake Kufuatilia utekelezaji wa miradi kwa kukagua na kufanyia tathimini ya miradi ya maendeleo kwa Idara za Elimu, kilimo,Maji na programu za UNICEF Kusimamia uandaaji wa taarifa za utekelezaji za robo nusu mwaka za Elimu,kilimo, Maji na UNICEF programu Kwa kushirikiana na Mratibu kuandaa na kufuatilia utekelezaji wa mpango Shirikishi (O & O D). Kusimamia uandaaji wa taarifa mbalimbali za Idara za Elimu, Maji na Programu za UNICEF Kuandaa mpango na taarifa za utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM. Kuaandaa maandiko ya miradi Kuandaa risala taarifa fupi na hotuba kwa ajili ya ugeni/ sikukuu za Kitaifa Kuratibu shughuli za Maafa Kusimamia mwenendo wa mapokezi na matumizi ya sekta za Kilimo ,Maji,na Unicef na kutoa taarifa kila mwezi Kuandaa na kuratibu mwenendo wa utekelezaji wa Mpango Mkakati wa Mji (Council strategic plans). Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Afisa Mipango Mji |
3.
|
Adam Joseph
|
MCHUMI DARAJA II
|
Kuandaa mpango na bajeti ya Afya,Mipango Mjamii na Ukimwi na maji,
Kuandaa ratiba ya kazi (Action Plan) kwa miradi ya maendeleo kwa Idara za Afya,Mipango Mjamii na Ukimwi, Kufuatilia utekelezaji wa miradi kwa kukagua na kufanya tathimini ya miradi ya maendeleo kwa Idara za Afya ,Mipango Mjamii na Ukimwi, Kusimamia uandaaji wa taarifa za utekelezaji za robo nusu mwaka za Idara ya Afya,Mipango Mjamii na Ukimwi, Kusimamia maandalizi ya LAAC Kwa ushirikiano na wachumi wenzako Kusimamia utekelezaji na mapitio ya fedha za LGCDG na utekelezaji wake,uratibu wa mchakato wa assesment. Kusimamia uandaaji wa taarifa mbalimbali za Idara za Kilimo, Mipango(CDG,LGDG,CBG) UKIMWI na Mjamii. Kuandaa na kuratibu taarifa za NGOs zilizopo Mjini Kuandaa maandiko ya miradi Kutoa ushauri kuhusu upangaji wa mipango na bajeti katika muda wa kati na muda mrefu Kuanisha vipaumbele vya Mji na kuratibu maandalizi ya mipango na bajeti. Kusimamia mwenendo wa mapokezi na matumiziya sekta za Afya Mipango(CDG,LGDG,CBG),UKIMWI./Mjamii na kutoa taarifa kila mwezi Kushiriki kuratibu na kusimamia mfuko wa jimbo la makete Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Afisa Mipango Mji |
4
|
Peter Mnali
|
MCHUMI DARAJA II
|
Kuratibu maandalizi ya mipango na bajeti ya Halmashauri sekta za Maji, Ujenzi, Maliasili na kusimamia utekelezaji wake
Kushirikiana na Wachumi kuchambua takwimu na taarifa mbalimbali za Kiuchumi na kijamii (LGMD) Kusimamia katika kuandaa taarifa za utekelezaji miradi ya Idara ya Maji, Ujenzi, Maliasili, Utumishi Kushiriki katika ukusanyaji wa takwimu mbalimbali Kushiriki katika kuandaa ratiba ya kazi (Action Plan) ya Maji, Ujenzi, Maliasili Kuanisha vipaumbele vya maendeleo Mjini Kuratibu utekelezaji wa Dira ya Taifa ya 2025 Kuandaa maandiko ya miradi Kushughulikia masuala/ taarifa za maafa Kusimamia mwenendo wa matumizi ya idara za Maji,Ujenzi, Maiasili ,Ardhi , na Mazingira.kwa fedha za maendeleo na kutoa taarifa kila mwezi Kushirikiana na Mchumi 1 kuandaa risala taarifa fupi na hotuba kwa ajili ya ugeni sikuu za Kitaifa kuratibu shughuli za UNICEF Kuandaa taarifa ya hali Halisi ya Mji (District Profile) Kuwa mratibu wa O & OD Mji Kufanya kazi nyingine atakazopangiwa na Afisa Mipango . |
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.