Halmashauri ya Mji wa Nanyamba hadi septemba 2017 ina wananchi wapatao huduma ya maji safi na salama 58,250 sawa na 50.76% kati ya wananchi 114,766 (kutokana na maoteo ya ongezeko la 1.4% ya Sensa ya 2012, Wanaobaki sawa na 49.24% wanatumia vyanzo vya maji vya asili na pengine wanalazimika kutembea umbali mrefu kati ya kilometa 4 hadi 10 kutafuta maji. Mara tu baada ya kukamilika kwa miradi inayoendelea kujengwa iliyokwenye vijiji kumi chini ya Programu ya miradi ya Maji na Usafi wa Mazingira kupitia ufadhili wa Benki ya Dunia huduma hii itaongezeka na kufikia 58%.
Kuonesha hali ya huduma ya Maji Nanyamba
Teknolojia/ Miradi. |
Iliyopo |
Inayofanya kazi. |
Isiyo fanya kazi. |
Watu wanaohudumiwa |
Asilimia (%) |
|
Visima vifupi vyenye pampu za mkono.
|
5 |
4 |
1 |
2,601 |
2.27 |
|
Visima virefu vyenye pampu za mkono.
|
10 |
7 |
3 |
4,240 |
3.69 |
|
Mtandao wa Maji ya bomba.
|
36 |
23 |
13 |
49,429 |
43.07 |
|
Mabwawa.
|
8 |
5 |
3 |
1,296 |
1.13 |
|
Matangi ya kuvunia Maji ya mvua
|
101 |
99 |
2 |
684 |
0.60 |
|
|
Jumla
|
58,250 |
50.76 |
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.