Bi Marianne Ziealer raia wa Ujeremani akitoa damu katia zoezi la kuchangia damu salama,Halmashauri ya Mji Nanyamba kupitia Timu ya wataalamu wa Damu Salama,wameanza zoezi la kukusanya damu toka kwa wananchi wote wa Mij Nanyamba na vitongoji vyake ili kuweza kuwa na akiba katika benki ya damu kwa matumizi mbalimbali ya msingi.
Halmashauri ya Mji Nanyamba kwa mujibu wa wataalamu hao ina hitaji chupa 96 kila mwezi kwaajili ya kuwahudumiwa kina mama wajawazito,watoto wadogo na majeruhi.
Zoezi litaendelea kufanyika katika taasisi za umma na maeneo binafsi kwa waatalamu hao kupita na kukusanya damu hiyo,jamii yote inaombwa kujitolea damu kwahiari,shime wanachi tutoe damu tuoke uhai.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.