Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Dinyecha wafikiwa na kampeni ya Msaada wa kisheria ijulikanayo @mslegalaidcampaign inayoratibwa na wizara ya @katibanasheria ikiwa leo ni siku ya nane toka kampeni hiyo izinduliwe na itadumu kwa muda wa siku kumi, wanafunzi hao wa shule ya Sekondari Dinyecha wamepewa elimu ya msaada wa kisheria na wataalam wa Ustawi wa Jamii na Ofisi ya Dawati la jinsia toka polisi.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.