Ukaguzi wa vyakula na elimu ya matumizi ya chumvi yenye madini joto yatolewa katika masoko na maduka katika kata za Halmashauri ya Mji Nanyamba leo tarehe 21/10/2023.Zoezi hilo limefanyika na Afisa Afya wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Ndg. Vitalis Lai pamoja na maafisa lishe katika kata za Mtimbwilimbwi, Mtiniko, Kiyanga,Mbembaleo, Mnongodi, Namtumbuka na Milangominne ambapo maduka na masoko yanayouza vyakula yalikaguliwa na elimu ya matumizi ya chumvi yenye madini joto ilitolewa kwa wananchi hao.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.