Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Mwanza Ndg Peter Rehett akiwakaribisha Waheshimiwa Madiwani, Viongozi wa Chama Mtwara Vijijini na baadhi ya wataalam kutoka Mji Nanyamba leo tarehe 21/12/2024 katika ziara ya kujifunza miradi ya kimkakati ya Tactics, ukusanyaji wa mapato na utunzaji wa mazingira,Ziara hiyo lengo lake kuu ikiwa kwenda kufanyiakia kazi miradi ya Tactics iliyoletwa Mji Nanyamba usimamizi wake uwe wenye tija na kukamilisha kwa wakati.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.