Kamati ya mapato ya Halmashauri mapema leo imetembelea mradi wa kiwanda cha cha tofali kinachomilikiwa na Halmashauri kilibuniwa ili kuongeza vyanzo vya mapato ya ndani, katika ziara hiyo ya kamati ya mapato ilikuwa na lengo la kutambua changamoto zinazowakabili kiwandani hapo
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.