• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

KAMATI YA SIASA MKOA WA MTWARA YARIDHISHWA NA MIUNDOMBINU YA KITUO CHA AFYA KITAYA.

Posted on: October 14th, 2023

Kamati ya ya Siasa Mkoa wa Mtwara Octoba, 2023 imefanya Ziara ya kukagua miundombinu na huduma zinazotolewa katika kituo cha Afya Kitaya kilichopo Kijiji cha Dindwa, Halmashauri ya Mji Nanyamba. Ziara hiyo ya kamati ya Siasa Mkoa iliongozwa na Katibu wa Chama Cha Mapinduzi Mkoa Mkoa wa Mtwara Cde. David Mollel kwa Kutembelea na kujionea huduma zilizoanza kutolewa.

Cde Mollel aliwapongeza Menejimenti na Kamati zote walizosimamia ujenzi huo hadi kukamilika kwake na sasa Wananchi wanapata huduma ya afya kwa ukaribu bila Kutembea umbali mrefu, pia aliwasisitiza kutunza miundombinu hiyo kwani ni muhimu sana kwasababu Serikali imewekeza pesa nyingi takribani shilingi Milioni Mia Tano kwaajili ya kuwahudumia wananchi wa kata ya Kitaya na pamoja na wa kata za jirani kama vile kijiji cha Arusha juu kilichopo kata ya Chawi.

Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • WAGOMBEA MBALIMBALI WARUDISHA FOMU ZA UGOMBEA

    August 27, 2025
  • WAGOMBEA MBALIMBALI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UGOMBEA WA UDIWANI

    August 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO NAFANA MJI NANYAMBA

    August 09, 2025
  • KIKAO CHA VIONGOZI WA SIASA JIMBO LA NANYAMBA

    August 08, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.