Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi Mkoa wa Mtwara yaipongeza kata ya chawi kwa kuendelea kuitunza miundombinu ya shule mpya ya mkondo mmoja uliotekelezwa awamu ya sita.Katika ziara hiyo ya kamati ya Siasa Mkoa imetembelea shule hiyo iliyojengwa kwa thamani ya milioni 331.5 kupitia mradi wa Uboreshaji wa elimu Msingi (BOOST)
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.