Kamati ya Siasa Mkoa wa Mtwara yatembelea mradi wa maji kata ya Njengwa na kuridhishwa kwa mradi huo uliosimamiwa na Ruwasa hadi kukamilika kwake na kuanza kutoa huduma ya maji kwa Wananchi wa kata ya Njengwa.
Kata ya njengwa ina jumla ya Vijiji sita ilikuwa na changamoto ya maji kwa muda mrefu mara baada ya mradi huo kata ya njengwa kwasasa hadha ya maji imekwisha kabisa.Akiongea mbele ya kamati ya siasa Mkoa Diwani wa kata ya Njengwa Mhe Moza Kapela amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mhe Abdallah Dadi Chikota kwa juhudi zao ili wananchi wa kata hiyo kwa kuwatatulia changamoto hiyo ya maji
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.