Matukio katika picha wananchi wa kijiji cha Mtopwa kata ya Mtimbwilimbwi wajitokeza kutoa changamoto zao katika kampeni ya Msaada wa kisheria ya Mama Samia ikiwa leo siku ya pili kwenye kampeni hiyo ya @mslegalaidcampaign itakayodumu kwa siku 10 Mji Nanyamba ikiongozwa na mratibu ngazi ya Halmashauri Ndg Christopher Kabado Kabado toka wizara ya @katibanasheria_.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.