Mwalimu Mkuu wa Shule ya Sekondari Mtimbwilimbwi Mohamed M. Mohamed, awajulisha wananchi wa kata ya Mtiniko kuhusu kuingiziwa Fedha 560,552,827.00 (milioni mia tano sitini laki tano elfu hamsini na mbili mia nane ishirini na saba) zilizowekwa kwenye Account ya shule ya sekondari Mtimbwilimbwi tarehe 30.06.2023. Fedha hizo zimeingizwa kwa ajili ya mradi wa ujenzi wa shule ya sekondari mpya kata ya Mtiniko kupitia mradi wa Sequip.
Aidha, amewaomba wananchi kutoa ushirikiano ikiwa ni pamoja na kujitolea nguvu kazi katika kufanikisha mradi huo.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.