Ikiwa ni muendelezo wa kampeni ya Msaada wa kisheria ya @mslegalaidcampaign kijiji cha Malongo kata ya Hinju, wakiendelea kupata huduma hiyo ya kisheria wananchi wa kijiji hicho wameiomba Serikali kupitia Wizara ya @katibanasheria_ kuendelea na zoezi hilo kwasababu kama kijiji kupitia ujio wao wamenufaika sana na elimu ya msaada wa kisheria unavyotolewa na wataalam hao
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.