• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

KITUO CHA AFYA DINYECHA CHAPATA GARI YA KUBEBEA WAGONJWA

Posted on: April 3rd, 2018

Mhe. Abdallah Chikota, Mbunge wa Jimbo la Nanyamba amekabidhi gari la kubebea wagonjwa Ambulance kwa Mganga Mfawidhi wa Kituo cha Afya Dinyecha.

   Pichani ni Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mhe. Abdallah Chikota akikabidhi funguo za gari kwa Mganga mfawidhi wa Kituo cha Afya Dinyecho


Akikabidhi gari hiyo, Mhe. Mbunge ametoa shukrani zake kwa Mhe. John P. Magufuli, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuwajali wananchi na amewataka wananchi kuzidi kujitolea katika shughuli za ujenzi wa miradi mbalimbali inayoendelea jimboni. Pamoja na hilo, Mbunge ameeleza namna anavyopambana kuhakikisha huduma za jamii zinapatikana kwa uhakika jimboni kwake.

                                        Mhe. Mbunge Chikota akitoa neno kwa Wananchi wakati wa kukabidhi Ambulance


Katika mapokezi hayo ambayo yalihudhuriwa na viongozi wa Chama tawala ngazi ya wilaya na makamu mwenyekiti wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, Mganga MKuu wa Mji Dr. Kyabaroti P. Kyabaroti kwa niaba ya Mkurugenzi wa Mji alimshukuru na kumsifu Mbunge kwa jitihada zote ambazo amekuwa akizifanya na kumuomba azidi kutoa ushirikiano kama ambavyo amekuwa akifanya siku zote.


                                          Mganga Mkuu wa Mji Dkt. Kyabaroti akifafanua jambo mbele ya Mbunge wa Jimbo

Kituo cha Afya Dinyecha ni moja kati ya Vituo vya Afya vitatu ambavyo vinajengwa kwa sasa, na hadi sasa kipo katika hatua za mwisho za ujenzi huo.


Matangazo

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA WANANANYAMBA

    June 02, 2025
  • TAFITI YA LISHE YAENDELA KWA KASI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

    June 13, 2025
  • RC SAWALA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    June 10, 2025
  • TAFITI YA LISHE KWA WATOTO KUANZIA MIEZI 0 HADI MIEZI 59

    June 09, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.