Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, Ndg. Thomas E. Mwailafu amesema utaratibu wa kukusanya mapato ni sehemu ya majukumu ya kila siku ya mtendaji.
Akizungumza katika kikao cha baraza la Madiwani kilichofanyika tarehe 10.08.2023 katika ukumbi wa Halmashauri alipokuwa akigawa vyeti vya pongezi na pesa taslimu kwa watendaji kata, mitaa na vijiji waliokusanya mapato Zaidi na kuweka katika akaunti ya Halmashauri, huku akisisitiza kuwapatia barua watendaji wanaoshindwa kukusanya mapato kikamilifu kwenye maeneo yao.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.