Kijiji cha Chiwindi kata ya Hinju leo tarehe 10/12/2024 imeadhimisha siku ya afya na lishe ya Kijiji kwa kufanya shughuli mbalimbali kama vile utoaji elimu juu ya
1.Upimaji wa afya ya Mtoto chini ya miaka mitano
2.Lishe kwa mama mjamzito na mama anayenyoshesha sambamba na madhara ya lishe duni.
3. Umuhimu wa matumizi ya vidonge vya kuongeza wingi wa damu kwa wajawazito
4. Umuhimu wa kuchangia chakula shuleni
5. Uzazi wa mpango, tathimini ya ukondefu na udumavu ilifanyika sambamba na
6.Mapishi darasa.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.