Katika kuhakikisha elimu ya afya na lishe inaendelea kutolewa tarehe 16/12/2024 kijiji cha Kitama Bondeni kata ya Nitekela wamefanya maadhimisho ya SALIK ikiwa ni pamoja na Elimu ya uandaaji wa Lishe Kwa Jamii.
Pia ilitolewa Elimu ya Afya , Mapimo Kwa watoto chini ya miaka mitano, chanjo na huduma za mama mjamzito zilitolewa Kwa kushirikiana na watoa huduma wa Afya ngazi ya Jamii ,Viongozi wa Serikali za Vijiji pamoja na wataalam wa afya toka Halmashauri ya Mji Nanyamba.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.