Zikiwa zimesalia siku chache kuelekea zoezi la Uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura maafisa waandikishaji wasaidizi jimbo la Nanyamba wamekula kiapo cha Tamko la kujitoa Uanachama wa Chama cha Siasa na kiapo cha utunzaji siri kuelekea uboreshaji wa daftari la kudumu la mpiga kura.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.