Kufuatia maelekezo yaliyotolewa na Chama Cha Mapinduzi Mtwara Vijijini katika ziara iliyofanyika tarehe 10/1/2025 kuwa jengo la X RAY katika kituo cha afya Dinyecha ifikapo Tarehe 30 Machi 2025 jengo hilo lianze kufanya kazi.Kutokana na maelekezo hayo aliyopewa Mkurugenzi wa Mji Nanyamba mara moja agizo hilo limeanza kufanyiwa kazi baada ya kuanza kufunga milango hiyo ya kuzuia Mionzi, Mkurugenzi wa Mji Nanyamba amewahakikishia haitafika mwezi machi x-Ray hiyo kuanza kazi mara moja.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.