Leo tarehe 3/10/2024 mafunzo yamefanyika mafunzo ya mikopo ya asilimia 10 katika Ukumbi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba ambapo Waheshimiwa Madiwani na timu ya Menejimenti wamepatiwa maelekezo kuhusu sifa za kupata mikopo, Utaratibu wa utoaji wa mikopo, urejeshaji wa mikopo na majukumu mabalimbali ya viongozi hao katika suala nzima la utoaji wa mkopo wa asilimia 10 katika vikundi vya wanawake, vijana na watu wenye ulemavu.
Hatua ya kutoa mafunzo hayo ni baada ya Serikali kufungua dirisha la mikopo, mikopo hiyo ilisitishwa kutokana kwa kusuasua urejeshaji wake kwa vikundi vilivyokopeshwa na Halmashauri zao kupitia mapato ya ndani.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.