Leo tarehe 17/2/2025 katika ukumbi wa Shule ya Sekondari Nanyamba kumefanyika mafunzo maalumu ya ununuzi kwa njia ya mfumo(NEST) kwa watumishi wa chini wa Halmashauri ikijumuisha walimu wakuu, wakuu wa shule zote za sekondari na Msingi, Waganga wafawidhi pamoja na wasaidizi wao, watendaji wote wa Kata ,vijiji na Mitaa.
Mafunzo hayo ya siku mbili yamefunguliwa na Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Mwalimu Joseph C. Mhagama mafunzo hayo yameratibiwa na ofisi ya ununuzi na ugavi Mkoa wa Mtwara ikishirikiana na ofisi ya ununuzi na ugavi ya Halmashauri ya Mji Nanyamba.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.