Chama Kikuu cha Ushirika cha Masasi-Mtwara Cooperative Union (MAMCU) leo tarehe 2/12/2024 wamefanya Mnada wa nane kijiji cha Mtimbwilimbwi kata ya Mtimbwilimbwi zaidi ya tani 4897 zimeuzwa.Katika mnada huo umefanyika kwa kuuza korosho kwa madaraja mawili tofauti kwa daraja la kwanza bei ya juu ilikuwa 2710 na bei ya chini 2320 kwa upande wa daraja la pili bei juu ilikuwa 2210 na bei ya chini ilikuwa 1910.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.