Halmashauri ya Mji Nanyamba imepokea fedha kiasi cha bilioni 2,300,877,827.00 za kitanzania kwa mwaka wa fedha 2022/2023 kutoka serikali kuu na Barrick Gold Mine kwa ajili ya miradi ya ujenzi wa vyumba vya madarasa, mabweni na matundu ya vyoo kwa shule za msingi na sekondari.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.