Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mhe Abdallah Dadi Chikota amepiga kura katika Kitongoji cha Newala kijiji cha Nyundo mapema leo asubuhi kwa kuwachagua Viongozi anaowataka ili waweze kuleta maendeleo kwenye kijiji chake cha Nyundo B.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.