Mheshimiwa Chikota atembelea na kukagua mradi wa Kituo cha afya Nyundo mapema leo tarehe 2/2/2025, mradi huo wa kituo cha afya Nyundo imetokana na juhudi za Mbunge wa jimbo la Nanyamba fedha zilizotokana na @tpdctz (Tanzania Petroleum Development Cooperation) wachangia kiasi cha Shilingi milioni 400.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.