Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mhe @chikota_abdallah katika ziara yake kwenye vijiji vya Mbembaleo, Shangani na Mwamko kata ya Mbembaleo amewaambia wananchi hao kuwa wasijihakikishie kuwa watashinda Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kwasababu ya wapo wengi kupitia Chama chao cha CCM wasibweteke na uwingi wao bali wajitokeze kujiandikisha kwenye Orodha la daftari la mpiga kura na siku ya Uchaguzi waende kupiga kura hiyo tarehe 27 Novemba 2024.
Mhe Chikota kwenye ziara yake pia amewaambia wananchi wa vijiji hivyo msimu wa korosho umeanza wanatakiwa kufuata ushauri wa wataalam wanaowapatia kwa kuanika korosho ili kupunguza unyevu wa korosho hizo ili ziwe bora unaotakiwa.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.