• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

Michezo yawaunganisha wananchi, watumishi Halmashauri ya Mji Nanyamba

Posted on: May 8th, 2018

Watumishi na wananchi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba kwa pamoja waungana kuanzisha klabu ya Michezo “Nanyamba Sports Club” itakayo saidia kujenga afya zao kutokana na mazoezi ambayo wamejipangia huku pia ikitazamiwa kuwaleta karibu baina ya watumishi na wananchi na watu wa maeneo mengine kupitia ushiriki wao katika michezo.

                                                Wana klabu wakiwa kwenye kikao wakijadili masuala mbalimbali kuhusu klabu yao

Wakizungumza kwa nyakati tofauti na mwanahabari, wamesema kwamba wameamua kuanzisha klabu hiyo baada ya kuhamasika kutoka halmashauri jirani ambazo kwa muda mrefu zimekuwa na klabu za michezo huku wakilenga zaidi kujikita kwenye kujenga timu mbili; timu ya mpira pete kwa wanawake na mpira wa miguu kwa wanaume.

                                                Wajumbe wakifuatilia mada kwa umakini (picha na Hamza Athumani Mkata)

“Nimefurahi kwa Imani mlioionyesha juu yangu kunichagua kuwa Mwenyekiti wa Klabu yetu ya michezo na ninawaahidi tutafikia malengo” alisema Mwl. Pius Chambulikasu ambaye ni Mwenyekiti wa klabu hiyo baada ya kuchaguliwa na wajumbe.

                                            Mohamedi Tilika (Hanangwa) akiteta jambo na wanachama wengine wa klabu hiyo 

Aidha, Klabu hiyo inaundwa na viongozi wafuatao; Mwl. Caroline Chilumba (Makamu Mwenyekiti), Dkt. Khamis B. Msangawenga (Katibu), Mwl. Bona Y. Kikwa (Naibu Katibu), Saidi Mchina (Mweka Hazina) huku Hamza Athumani Mkata na Mohamedi Tilika (Hanangwa) wakiteuliwa kuwa wajumbe wa kamati.

Matangazo

  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • TANGAZO KWA WANANANYAMBA

    June 02, 2025
  • TAFITI YA LISHE YAENDELA KWA KASI HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA

    June 13, 2025
  • RC SAWALA AFURAHISHWA NA UTEKELEZAJI WA MIRADI

    June 10, 2025
  • TAFITI YA LISHE KWA WATOTO KUANZIA MIEZI 0 HADI MIEZI 59

    June 09, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.