Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Mhandisi Mshamu Munde kuhakikisha korosho za wananchi zilizopo kwenye maghala zinatoka kwenda mnadani leo tarehe 22/11/2024 ametembelea baadhi ya Amcos za Mji huo kujionea na kuzungumza na viongozi wa vyama hivyo vya msingi kuona juhudi zilizofanyika na zinazoendelea kufanyika.
Akiwa katika chama cha Msingi Amcos Hinju Mkurugenzi huyo amaejionea juhudi zinazofanya na chama hicho kwa kuleta gari mbili kubwa kwa wakati mmoja ili ziweze kuwahi mnada unaofuata pia kwa kufahamu utatuzi wa vifungashio kuwa vichache.
Viongozi wa Hinju Amcos wamemuomba Mkurugenzi kuwasaidia kwa kuweza kuwasiliana na Uongozi wa juu kushughulikia mapema iwezekano suala la vifungashio.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.