• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

Mkuu wa mkoa afanya ziara Halmashauri ya Mji wa Nanyamba.

Posted on: August 11th, 2017

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba Ndugu Adv, Oscar Ng'itu akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Mhe, Halima Dendegu wakati alipofanya ziara ya kukagua shughuli mbalimbali za Maendeleo leo tarehe 11/08/2017


Mkuu wa mkoa wa mtwara Mhe, Halima Dendego leo amefanya ziara ya kikazi katika Halmashauri ya Mji wa Nanyamba  ili kukagua shughuli mbalimbali za maendeleo Mjini hapo.

Akiwa mjini hapo Mkuu wa mkoa amezindua zoezi la utoaji wa chakula shuleni, ambapo zoezi hilo lilifanyika katika shule ya msingi Mtimbwilimbwi. Pia amechangia kiasi cha Sh. Milioni moja ikiwa ni mchango kwa ajili ya ununuzi wa bati za kumalizia shule ya msingi mpya inayojengwa katika kata ya Mtimbwilimbwi.

Awali akihutubia wananchi hao, mkuu wa mkoa alitoa nafasi kwa wanchi kutoa hoja zao mbalimbali ambapo mwananchi mmjoa alijitokeza na kuomba kata hiyo isaidiwe Bati, kwa ajili ya kumalizia jengo la shule ya msingi lililojengwa kwa nguvu za wananchi wakishirikiana na Mbunge wa Jimbo hilo Mhe, Abdalla Chikota.

Baada ya mkuu wa mkoa kumaliza kusikiliza hoja na kero walizonazo wananchi, alibeba bahasha na kuchangisha michango kutoka kwa wanachi waliohudhuria wakiwemo watumishi kutoka kada mbalimbali. Aliweza kuchangisha zaidi ya Sh. laki tatu  huku Mbunge wa Jimbo hilo akichangia Sh. Laki moja kwa mara nyingine.

Hata hivyo mkuu wa Mkoa alihimiza wananchi kufanya kazi kwa bidii ili kujiletea maendeleo na kukuza pato la taifa, huku akisisitiza kuchangia mfuko wa elimu ulioanzishwa na Mbunge wa Jimbo hilo ambao utakuwa suluhisho la matatizo mbalimbali yanayoikumba sekta hiyo hususani elimu ya msingi.



Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 04, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • WAGOMBEA MBALIMBALI WARUDISHA FOMU ZA UGOMBEA

    August 27, 2025
  • WAGOMBEA MBALIMBALI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UGOMBEA WA UDIWANI

    August 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO NAFANA MJI NANYAMBA

    August 09, 2025
  • KIKAO CHA VIONGOZI WA SIASA JIMBO LA NANYAMBA

    August 08, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.