Ngongo, Lindi — Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Kanali Patrick Sawala akiongozana na Mkuu wa wilaya ya Mtwara Mhe Abdallah Mwaipaya leo wametembelea banda la Halmashauri ya Mji Nanyamba katika Maonesho ya Kilimo ya Nane Nane yanayoendelea katika viwanja vya Ngongo, mkoani Lindi, na kujionea ubunifu, maendeleo na jitihada mbalimbali zinazofanywa na halmashauri hiyo katika kuboresha maisha ya wananchi.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.