Mkuu wa Wilaya ya Masasi Ndg. Lauteri John Kanoni ameambatana na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Tandahimba Ndg. Uwanzalima pamoja na Mratibu wa nanenane ndg. Kuwambwa Rc Lindi kujionea maandalizi ya maonesho ya wakulima nanenane katika banda la Halmashauri ya Mji Nanyamba.
Katika ziara hiyo wamejionea fursa mbalimbali ikiwemo kilimo, mifugo na uvuvi zilizopo katika banda la Halmashauri ya Nanyamba.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.