Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Mji Nanyamba apiga kura kituo chake alichojiandikisha katika Mtaa wa Kilimanjaro kata ya Nanyamba mapema leo asubuhi tarehe 27/11/2024.Akizungumza na wananchi wa mtaa huo baada ya kupiga kura amewasisitiza kupiga kura kwa amani na utulivu na haina haja ya kuendelea kukaa hapo mara ya kupiga kura waendelee na shughuli zingjne za kimaendeleo na haitapendeza kuleta vurugu zisizo za msingi wowote.
NANYAMBA, MTWARA.
Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,
Simu: +255
Simu:
Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz
Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.