• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

MWENGE WA UHURU NDANI YA NANYAMBA JUNI 17/2018

Posted on: June 16th, 2018

Wananchi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba, wamejiandaa vema kuupokea mwenge wa uhuru, unaotarajiwa kuingia mapeme tarehe 17 Juni 2018, baada ya kumalizia ziara yake katika Wilaya ya Tandahimba.

Wananchi wa Nanyamba wamedhamiria kwa vitendo kuupokea Mwenge wa Uhuru kwa kuonyesha shughuli mbalimbali zinazofanywa na viwanda vilivyoanzishwa na wananchi wenyewe katika maeneo yao baada ya Halmashauri ya Mji kuwawezesha wananchi hao katika vikundi vya maendeleo.

Mbali na Kuzindua viwanda, Mwenge wa Uhuru unatarajiwa kuzindua miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwa ni vituo vya Afya, Madarasa, jengo la utawala, Nyumba ya Mkurugenzi wa Mji, miradi ya maji na kadharika.

Nyumba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Nanyamba

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Ndugu. Adv,Oscar Antony ng'itu anaendelea kuwahimiza wananchi ndani na nje ya Nanyamba kuendelea kujitokeza kwa wingi katika maeneo mbalimbali ambayo Mwenge wa uhuru unatarajiwa kufika. Pia mazingira ya kijamii,hali ya usalama na huduma mbalimbali zimeimarishwa kuhakikisha kwamba watu wote watakao hudhuria Shughuli hizi wa mwenge watakuwa salama.





Matangazo

  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • WAGOMBEA MBALIMBALI WARUDISHA FOMU ZA UGOMBEA

    August 27, 2025
  • WAGOMBEA MBALIMBALI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UGOMBEA WA UDIWANI

    August 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO NAFANA MJI NANYAMBA

    August 09, 2025
  • KIKAO CHA VIONGOZI WA SIASA JIMBO LA NANYAMBA

    August 08, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.