• Wasiliana nasi |
    • Maswali |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
NANYAMBA TOWN COUNCIL
NANYAMBA TOWN COUNCIL

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji Nanyamba

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya MSM
  • Utawala
    • Muundo wa taasisi
    • Vitengo
      • Kitengo cha Sheria
        • katiba
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA na Uhusiano
      • Kitengo cha Uchaguzi
      • Kitengo cha Ununuzi
      • Kitengo cha Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango, Takwimu na Ufuatiliaji
      • Ardhi na Maliasili
      • Kilimo, Umwagiliagi na Ushirika
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jamii na Vijana
      • Fedha na Biashara
      • Ufugaji na Uvuvi
      • Mazingira na Usafi
      • Afya
      • Ujenzi
      • Maji
      • Elimu
        • Elimu Msingi
        • Elimu Sekondari
        • Michezo na Burudani
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma
    • Huduma za Afya
    • Huduma za Elimu
    • Huduma ya Maji
  • Madiwani
    • Kamati za Kudumu
    • Orodha ya Waheshimiwa Madiwani
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi iliyopangwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Fomu mbalimbali
    • Sheria
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba
      • Maktaba ya picha
      • Maktaba ya video
    • Habari
    • Matukio

NAIBU WAZIRI WA MAJI MHANDISI KUNDO ATEMBELEA MRADI WA MAJI MNYAWI

Posted on: October 4th, 2024


Leo tarehe 4/10/2024 Naibu Waziri wa Maji Mhe Mhandisi Kundo Mathew (Mb) ametembelea Chanzo cha Maji kilichopo kijiji cha Mnyawi kata ya Milangominne kujionea Maendeleo ya mradi huo ambao Serikali imeshatoa fedha kiasi cha shilingi Billion 5.6 kwa lengo la kuuboresha Mradi huo kuanzia Kwenye Chanzo maji kwa kununua Pump mpya za maji zenye uwezo mkubwa  wa kusukuma maji ili kuondoa changamoto iliyokuwa inajitokeza kwa wananchi wa Nanyamba.



Katika ziara hiyo Naibu waziri huyo amemuagiza Mkandarasi ambaye yupo eneo la mradi ifikapo 31 December Mwaka 2024 maboresho yanayofanyika kwenye mradi huo yakamilike ili wananchi waendelee kupata huduma ya maji yenye uhakika, Mhe Kundo pia amesisitiza  wananchi waendelee kutunza Vyanzo vya Maji na miundombinu yake ili kuepukana na Adha inayojitokeza kwao.



Mbunge wa Jimbo la Nanyamba Mhe Chikota amemshukuru Naibu waziri kwa kukubali mualiko wa kuja katika Jimbo la Nanyamba ili ajionee serikali ilivyowekeza kwenye sekta hiyo ya maji kwa kuleta fedha hizo kwaajili ya kuboresha miundombinu hiyo na kuondoa ya zamani, Mhe Chikota amekuwa mfano wa kuigwa kwa kuwaombea  wananchi  wa Jimbo lake katika miradi  mbalimbali toka Serikali hata kwa wadau wa sekta binafsi.


Matangazo

  • TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI September 04, 2025
  • TAARIFA YA MAPOKEZI YA FEDHA July 02, 2024
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • TANGAZO KWA UMMA KUHUSU MIKOPO INAYOTOLEWA KWA VIKUNDI VYA WANAWAKE, VIJANA NA WATU WENYE ULEMAVU August 06, 2025
  • Fungua zote

Habari Mpya

  • WAGOMBEA MBALIMBALI WARUDISHA FOMU ZA UGOMBEA

    August 27, 2025
  • WAGOMBEA MBALIMBALI WAJITOKEZA KUCHUKUA FOMU ZA UGOMBEA WA UDIWANI

    August 27, 2025
  • BONANZA LA MICHEZO NAFANA MJI NANYAMBA

    August 09, 2025
  • KIKAO CHA VIONGOZI WA SIASA JIMBO LA NANYAMBA

    August 08, 2025
  • Fungua zote

Video

Video zinginezo

Kurasa za karibu

  • Kupata Salary slip
  • Renovation of 17 AMREF Water Projects
  • Uuzaji wa Viwanja
  • WANAFUNZI WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA KATIKA SHULE MBALIMBALI ZA SEKONDARI-HALMASHAURI YA MJI NANYAMBA 2022/2023
  • YOUTUBE; Nanyamba town council
  • INSTAGRAM; nanyambatc3
  • FACEBOOK; Nanyamba Town Council
  • TWITTER/ X; nanyambatc1

Kurasa Mashuhuri

  • Government Portal
  • PO - RAG
  • State House Website
  • Public Services Recruitment Secretariet
  • Tanzania Government Portal
  • Public Services Website

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Mahala

Wasiliana nasi

    NANYAMBA, MTWARA.

    Sanduku la Barua: P.O.BOX 1490,

    Simu: +255

    Simu:

    Barua pepe: td@nanyambatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani ya Tovuti

Copyright ©2016 Nanyambatc . All rights reserved.